img

SIMBA, YANGA ZITAMUDU GWARIDE LA KIJESHI?

October 22, 2020

NA ASHA KIGUNDULA-DAR ES SALAAM MIAMBA ya soka nchini,timu za Simba na Yanga, leo zinashuka katika viwanja viwili tofauti kusaka pointi tatu, katika michezo yao ya Ligi Kuu Tanzania Bara, huku kila moja ikimwombea dua mbaya mwenzake apoteze. Simba ambayo ni bingwa mtetezi wa ligi hiyo,itakuwa Uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga kuumana na wenyeji,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *