img

Matumizi ya simu kitandani yanavyoathiri usingizi

October 22, 2020

Na  AVELINE  KITOMARY  USINGIZI  ni hali ambayo mifumo ya mwili inafanya kazi kwa viwango vya chini kidogo hivyo  kupata muda wa kuweza kujisafisha na kutoa sumu kutokana  na shughuli nyingi ambazo mtu  anazifanya akiwa macho.  Binadamu anapofanya kazi mbalimbali wakati wa usingizi ndio muda mwili unajisafisha na kujiweka katika hali ambayo huwa tayari kuanza siku,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *