img

Askari wadaiwa kujeruhi na kuua waandamanaji 20 Nigeria

October 22, 2020

Lagos, Nigeria  WATU kadhaa walioandamana dhidi ya polisi, wameripotiwa kupigwa risasi na kufa na huku wengine wakiwa wamejeruhiwamjini Lagos nchini Nigeria. Walioshuhudia tukio hilo wameiambia BBC kuwa wameona miili 20 ilikuwa imetapakaa na wengine 50 wamejeruhiwa baada ya wanajeshi kufyatua risasi. Shirika la kimataifa la Amnesty limesema limepata habari za kuaminika kuhusiana na vifo hivyo.,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *