img

Asasi yahamasisha Watanzania kujitokeza kupiga kura kwa wingi

October 22, 2020

NA MWANDISHI WETU, Dar es Salaam ASASI ya The Right Way (TRW), imewataka Watanzania wajitokeze kwa wingi Oktoba 28 mwaka huu ili wapige kura kwa uhuru kwakuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imeweka mazingira mazuri ya watu kushiriki zoezi la upigaji kura. Akizungumza na waandishi wa habari waliohudhuria mafunzo ya watazamaji wa uchaguzi, jana jijini,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *