img

Wauguzi, wakunga wakumbushwa miongozo ya utumishi wa umma

October 21, 2020

Na AVELINE KITOMARY-DAR ES SALAAM WAUGUZI na wakunga wamekumbushwa kufuata taratibu na miongozo ya utumishi wa umma na kuzingatia matumizi sahihi ya simu kwa kufuatilia vitu vya msingi na vyenye tija kwa taaluma yao na taifa. Hayo yalisemwa Dar es Salaam jana na Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi na Ukunga kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *