img

Wananchi wahimizwa unywaji maziwa yaliyopimwa kitaalamu

October 21, 2020

NA SAMWEL MWANGA-MASWA WANANCHI wameshauriwa kunywa maziwa ya ng’ombe ambayo yamepimwa na wataalamu kwa sababu ni mlo kamili. Hayo yalielezwa jana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Dk. Fredrick Sagamiko wakati akizungumza na MTANZANIA ofisini kwake. Alisema watu wengi wamekuwa wakinywa maziwa ambayo hayajapimwa na mtaalamu wa mifugo, yanayoweza kusababisha,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *