img

Njia uzazi wa mpango chanzo cha saratani

October 21, 2020

Na AVELINE KITOMARY-DAR ES SALAAM DAKTARI bingwa wa saratani kutoka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI), Heleni Makwani, amesema moja ya sababu za umri wa wanawake wanaougua saratani ya matiti kuendelea kushuka, ni matumizi ya njia za uzazi wa mpango katika umri mdogo. Takwimu zilizotolewa na taasisi hiyo miaka 10 iliyopita zilieleza ongezeko la,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *