img

Nedy Music ajikita kwenye maandamano ya amani ya mtandaoni Nigeria

October 21, 2020

NA MWANDISHI WETU NYOTA wa muziki Bongo fleva Tanzania Said Self ‘ Nedy Music,’ amejiunga na maandamano ya EndSARS kupitia mitandao wa kijamii kwa ajili ya kupinga machafuko nchi Nigeria. Nedy Music aliwahi kushinda tuzo ya AFRIMA 2018, zinazotolewa nchini Nigeria, kipengele cha Chaguo la Mashabiki (African Fans’ Favourite) kupitia nyimbo yake ya Ameni. Akizungumza,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *