img

NBS: Serikali pekee inatumia takwimu zetu

October 21, 2020

Na RAMADHAN HASSAN-DODOMA TANZANIA imeungana na nchi zingine kuadhimisha siku ya takwimu duniani, huku Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ikikiri kukabiliwa na changamoto ya  takwimu zake   kutumiwa  na Serikali pekee. Akizungumza na waandishi wa habari Dodoma jana wakati wa maadhimisho hayo, Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk. Albina Chuwa alisema ofisi yake imekuwa ikikabiliwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *