img

Nane wapata maambukizi ya corona England

October 21, 2020

LONDON, ENGLAND  LIGI Kuu nchini England, imethibitisha kuwa wachezaji na viongozi nane wanaoshiriki Ligi hiyo wamekutwa na maambukizi ya virusi vya corona baada ya kufanyiwa vipimo wiki iliopita. Jumla ya wachezaji pamoja na viongozi 1,575 walifanyiwa vipimo kuanzia Jumatatu ya Oktoba 12 na Oktoba 18, kati ya hao nane wamekutwa na maambukizi. Idadi hiyo inaonekana,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *