img

Ligi ya Mabingwa – UEFA 2020/21 Kuendelea Leo usiku!!

October 21, 2020

Ajax kuwakaribisha Liverpool. Huu ni mchezo wa aina yake katika ulimwengu wa soka. Mchezo huu unaturudisha mwaka 1966 ambapo timu hzi zilikutana na hazijawahi kukutana tena mpaka sasa. Ajax na Liverpool kwa siku za karibuni ni timu ambazo zimekuwa zikifanya mambo makubwa kwenye soka la ulaya. Katika Ligi ya Mabingwa – UEFA, Ajax watakumbukwa kwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *