img

HRW: Jeshi DRC linaunga mkono jinai za waasi

October 21, 2020

BRUSSELS, UBELGIJI SHIRIKA la Human Rights Watch limesema katika ripoti yake mpya kuwa, wapiganaji watiifu kwa kiongozi wa waasi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wanaendelea kufanya mauaji, kubaka na kuajiri watoto kwa lazima kwa kuungwa mkono na jeshi la nchi hiyo. Ripoti hiyo imeeleza kuwa wapiganaji wa Guidon Shimiray Mwissa, wanaendelea kutenda jinai,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *