img

Droni zawapa changamoto kubwa waongoza ndege

October 21, 2020

NA SABINA WANDIBA – Dar es Salaam KUWEPO kwa ndege nyuki (droni) imetajwa ni miongoni mwa changamoto wanazokabiliana nazo waongoza ndege nchini kutokana na teknolojia ya mawasiliano ya vifaa hivyo kutoonekana wakati vinaporushwa angani. Hayo yalisemwa jana na Rais wa Chama cha Waongoza Ndege Tanzania (TACC), Shukuru Nziku wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *