img

SIMBA YAIFUATA PRISONS NA MBINU MBADALA

October 20, 2020

Na WINFRIDA MTOI-DAR ES SALAAM KIKOSI cha Simba kimeondoka jana kwenda mjini Sumbawanga, kuifuata Tanzania Prisons, huku Kocha Mkuu wa Wanamsimbazi hao, Sven Vandenbroeck, akisema amejipanga kukabiliana na kila changamoto ili kurejea na ushindi. Wekundu wa Msimbazi hao, wameondoka na kikosi cha nyota 22, wakitarajia kukutanana Prisons keshokutwa katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *