img

Polisi waua majambazi wawili wakati wa kurushiana risasi

October 20, 2020

Na JANETH MUSHI – ARUSHA  WATU wawili wanaodhaniwa kuwa majambazi, wameuawa wakati wa majibizano ya risasi na polisi, baada ya kuwekewa mtego. Jeshi hilo linaendelea kuwatafuta watuhumiwa wengine watatu waliokimbia. Katika tukio hilo, pia zilipatikana silaha mbili ambazo ni shotgun iliyokuwa na risasi tisa na bastola aina ya Bereta iliyokuwa na risasi nne ndani ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *