img

Dk. Mwinyi aahidi kuboresha mazingira ya walimu Z’bar

October 20, 2020

Na MWANDISHI WETU -ZANZIBAR MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema akipata ridhaa ya wa- nanchi, Serikali atakayoiongoza itahakikisha inaboresha mazin- gira ya walimu. Dk. Mwinyi alisema Seri- kali atakayoiongoza itaboresha mazingira kwa walimu ikiwemo kuwapandisha madaraja na kuongeza posho kwa walimu wakuu. Kauli hiyo aliitoa juzi wakati,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *