img

Daktari ataja sababu tatizo kukosa usingizi

October 20, 2020

Na AVELINE KITOMARY -DAR ES SALAAM DAKTARI bingwa wa magonjwa ya ubongo, mfumo wa fahamu na mifupa kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI), Dk. Laurent Lemery amesema matumizi ya simu wakati wa kulala na msongo wa mawazo huweza kusababisha tatizo la usingizi. Akizungumza na MTANZANIA wakati wa mahojiano maalumu Dar es Salaam jana, Dk.,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *