img

Msami awaomba wananchi wasifanye makosa Oktoba 28

October 19, 2020

Mwandishi Wetu Mwanaharakati wa kupigania haki katika jamii Mathew Msami, amewaomba wananchi kuhakikisha wanachagua viongozi wenye lengo la kuiletea nchi maendeleo na sio wenye kutaka kujinufaisha wenyewe. Akizungumza na MTANZANIA mapema leo jijini Dar es Salaam, Msami, amesema nchi imefikia hapa ilipo kutokana na uongozi bora wa Dkt John Magufuli kwa kupigania misingi imara. Anasema wananchi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *