img

Zamalek, Casablanca kinawaka CAF leo

October 18, 2020

CAIRO, Misri NI leo hiyo! Raja Casablanca watawaalika Zamalek katika Uwanja wa Mohamed V, ukiwa ni mtanange wa nusu fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku ule wa marudiano ukisubiriwa Oktoba 24, mwaka huu. Hatua hiyo ya nusu ilianza jana kwa mechi nyingine ya kibabe kati ya wenyeji, Wydad Casablanca, na wageni wao,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *