img

New Zealand: Jacinda Ardern ashinda kwa kishindo

October 18, 2020

WELLINGTON, NEW ZEALAND WAZIRI MKUU wa New Zealand, Jacinda Ardern amepata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu uliofanyika jana.  Ushindi huo unakipa chama chake cha Labour nafasi ya kuunda serikali bila ya kuvishirikisha vyama vingine. Jacinda Ardern ameshinda kwa kishindo na kupata wingi wa viti bungeni utakaomwezesha kutekeleza mpango wake wa mageuzi. Baada ya kuhesabiwa theluthi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *