img

Mwalimu aliyekatwa kichwa kwa kuonesha wanafunzi vibonzo vya Mtume Muhammad alitishwa kabla ya kuuawa

October 18, 2020

PARIS, UFARANSA MWALIMU aliyekatwa kichwa katika mtaa nchini Ufaransa alikuwa amepokea vitisho baada ya kuwaonesha wanafunzi vibonzo tata vya Mtume, vimeripoti vyombo vya habari vya Ufaransa. Awali Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron alisema ukatwaji wa kichwa wa mwalimu katika kitongoji kilichopo kaskazini magharibi mwa mji wa Paris -Ufaransa ni Shambulio la ugaidi wa uislamu. Mwalimu,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *