img

Mgombea ubunge aahidi kujengea wazee kituo cha kisasa

October 18, 2020

Na ANNA RUHASHA, MWANZA MGOMBEA Ubunge Jimbo la Sengerema kupitia tiketi ya Chama  Cha Mapinduzi  (CCM ) Hamisi Tabasamu amehaidi kuwa iwapo atachaguliwa na wananchi kuwa mbunge wa jimbo hilo, atajenga kituo cha kulelea   wazee. Ahadi hiyo aliitoa wakati akizungumza  na  baadhi  ya wazee  walika walioshiriki katika kikao ndani  kilichofanyika katika ukumbi wa Mayengela,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *