img

Mbaroni kwa tuhuma za kuua akijaribu kutoa mimba

October 18, 2020

Na Nyemo Malecela, Kagera JESHI la Polisi mkoani Kagera linamshikiria Frodius Protace ‘Gafseki’ (24) mkazi wa Kijiji cha Rushe wilayani Karagwe kwa tuhuma za kumuua Saraiya Idd (25) mkazi wa Kijiji cha Mabuye wilayani Misenyi wakati akijaribu kumtoa mimba ya miezi sita kwa malipo ya Sh 600,000. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *