img

Kaze ateta na wachezaji Yanga kwa saa tano

October 18, 2020

NA ZAINAB IDDY-DAR ES SALAAM KOCHA Mkuu mpya wa Yanga, Cedric Kaze , amekutana na viongozi wenzake wa benchi la ufundi pamoja na wachezaji wa timu hiyo na kuteta nao kwa saa tano, huku akiweka wazi msimamo wa kutowavumilia wachezaji watovu wa nidhamu na wavivu. Kaze juzi alitembelea kambi ya timu hiyo iliyoko katika makazi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *