img

Faraja Deogratias aachia ‘Wewe ni Mwema’

October 18, 2020

ARIZONA, MAREKANI KUTOKA Phoenix, Arizona Marekani, mwimbaji wa Injili, Faraja Deogratias, amewaomba wapenzi wa muziki huo kuendelea kusikiliza na kutazama video ya wimbo mpya, Wewe ni Mwema. Akizungumza na MTANZANIA, Faraja alisema anashukuru mapokezi ya awali ambayo ameyapata alipoachia video hiyo inayochezwa kwenye runinga mbalimbali Afrika Mashariki. “Meseji ya wimbo huu inazungumzia wema wa Mungu,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *