img

Dk Shein: Barabara zinafungua ukuaji wa uchumi

October 18, 2020

Na Mwandishi wetu, Zanzibar RAIS wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, amesema barabara zinafungua milango na kuleta manufaa katika ukuaji na maendeleo ya uchumi na kijamii. Rais Dk. Shein aliyasema hayo katika ufunguzi wa barabara ya Ole hadi Kengeja yenye urefu wa kilomita 35, hafla iliyofanyika huko katika viwanja vya skuli ya Kengeja, Wilaya ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *