img

NHIF yamuenzi Nyerere kwa kutoa huduma bure

October 16, 2020

Na GUSTAPHU HAULE, PWANI MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Mkoa wa Pwani umetumia siku ya maadhimisho ya miaka 21 ya kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kwa kutoa huduma ya matibabu bure kwa Wananchi . Maadhimisho hayo yaliyofanyika jana katika viwanja vya Shule ya Msingi Majengo vilivyopo wilayani Bagamoyo, yalihusisha viongozi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *