img

Mtaalamu aeleza maumivu yanavyoweza kumuimarisha mtu

October 16, 2020

Na SARAPHINA SENARA(UoI)-DAR ES SALAAM MTAALAMU wa saikolojia kutoka chuo kikuu cha Iringa, Baraka Mushobozi  ameeleza faida za maumivu, akisema ni pamoja na kumuimarisha mtu kifikra na kumpatia wazo jipya ni namna gani anaweza kukabialiana na wakati anaopitia. Akizungumza na MTANZANIA katika mahojiano maalumu, Mushobozi aliesema  maumivu yanayotokana na hisia mbalimbali kwa binadamu ambazo mtu,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *