img

Endelezeni kielimu watoto wenye ulemavu – wito

October 16, 2020

Na RAMADHAN HASSAN-DODOMA MRATIBU Mkuu wa Mradi wa Elimu Jumuishi wa Kanisa la The Free Pentecostal Church Tanzania, Lucas Mhenga amewaomba wazazi,walezi na jamii inayoishi na watoto wenye ulemavu kutowaacha majumbani, badala yake waendelezwe kielimu ili waweze kufikia hatua ya vyuo vikuu.  Ushauri huo,liutoa jijini hapa jana,  alipozungumza wakati wa kikao cha pamoja kilichowajumuisha kati,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *