img

Mgombea mwenza CUF ataka rasilimali za nchi zitumike kikamilifu

October 15, 2020

Na MOHAMED HAMAD -KITETO MGOMBEA mwenza wa urais wa Chama cha Wananchi (CUF), Hamida Abdallah amesema kutotumika kikamilifu rasilimali za Tanzania, kumefanya nchi kuwa na madeni sambamba na kukithiri kwa umaskini wa kipato kwa wananchi wake kila kukicha. Akizungumza katika kampeni zake mjini Kibaya wilayani Kiteto mkoani Manyara, Hamida alisema rasilimali za Tanzania zinanufaisha baadhi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *