img

Mapinduzi Balama apewa programu maalumu

October 15, 2020

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, Mapinduzi Balama, amepewa programu maalumu ya mazoezi ili kurejesha mwili wake katika hali ya kiuchezaji kabla ya kuanza kutumika kwenye mechi mbalimbali. Balama alipata majeraha la enka akiwa kwenye majukumu ya timu hiyo msimu uliopita kiasi cha kukosa michezo iliyokuwa imesalia kabla ya msimu kumalizika, sambamba na michezo yotemitano,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *