img

Makapu benchi kwake freshi tu

October 15, 2020

Na ZAINAB IDDY-DAR ES SALAAM KIUNGO wa Yanga,Juma Said Makapu,amesema kukosa nafasi ya kucheza hakumuumizi kichwa kwani muhimu kwake timu yake ipate ushindi. Makapu alipoteza nafasi ya kudumu katika kikosi cha Yanga,baada ya kocha Zlatko Krmpotic kukabidhiwa jukumu la kukinoa aliporithi mikoba ya Luc Eymael. Eymael alifutwa kazi baada ya msimu uliopita wa Ligi Kuu,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *