img

Joel Jorchie Kandolo aachia ‘Ma Plus Belle Histoire’

October 15, 2020

MONTREAL, CANADA KUTOKA nchini Canada, mwimbaji wa gospo, Joel Jorchie Kandolo, amewaomba wapenzi wa muziki huo Afrika Mashariki kuipokea video ya wimbo wake mpya Ma Plus Belle Histoire au My Most Beautiful Story. Akizungumza na MTANZANIA, Kandolo alisema licha ya kuwa anatumia lugha ya Kifaransa (French) ila anahitaji muziki wake uwafikie watu wengi wa Afrika,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *