img

Halotel kujivunia miaka mitano ya mafanikio kufikisha idadi ya watumiaji zaidi ya milioni sita.

October 15, 2020

Mwandishi Wetu – Dar es Salaam Kampuni ya Viettel kwa jina la biashara Halotel, siku ya leo inasheherekea maadhimisho ya miaka mitano ya utoaji huduma za mawasiliano Tanzania, Kwa muda wote wa utoaji huduma imeweza kufikia malengo kwa viwango vya juu ikiwemo kuongeza watumiaji wa mtandao huo. Kutokana na ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *