img

Famba amtambulisha Difficile 5G

October 15, 2020

BUJUMBURA, BURUNDI KUTOKA nchini Burundi, meneja maarufu wa wasanii, Happy Famba, amemtambulisha msanii wake mpya, Difficile 5G kupitia lebo ya The Fighter Production. Akizungumza na MTANZANIA, Famba alisema kipaji cha Difficile 5G kiligundulika akiwa kwenye bendi ya Peace And Love ambapo alikuwa akiimba na kupiga gitaa. “Nikiwa kama CEO wa The Fighter Production, napenda kuwajulisha,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *