img

Asilimia 70 wanaotibiwa JKCI wakabiliwa na tishio shinikizo la damu

October 15, 2020

Na WARDA LUPENZA (TUDARCo) -DAR ES SALAAM ASILIMIA 70 ya Watanzania wanaotibiwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) wanakabiliwa na tatizo la shinikizo la damu ambalo linasababisha ugonjwa wa moyo. Akizungumza na MTANZANIA, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo, Samwel Rweyemamu, alisema kwenye taasisi hiyo wameona wagonjwa karibu 300 kwa siku kwa kipindi,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *