img

Wawekezaji watakiwa kuchangamkia fursa kwenye kilimo cha parachichi

October 14, 2020

Elizabeth Kilindi,Njombe Wawekezaji nchini wametakiwa kuchangamkia fursa ya uwekezaji wa zao la kilimo cha parachichi yanda za juu kusini ili kupamba na tatizo la lishe bora kwa jamii. Ushauri huo umetolewa wakati wa maadhimisho ya siku ya chakula duniani na Meneja wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Nyanda za juu Kusini, Venance Mashiba, ambapo amesema,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *