img

Wauguzi, wakunga wakumbushwa kujiendeleza

October 14, 2020

Na MWANDISHI WETU, MTWARA WAUGUZI na wakunga nchini wamekumbushwa kujiendeleza kitaaluma ili kuweza kuongeza ujuzi zaidi katika utendaji kazi na kutoa huduma zilizo bora zaidi. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi na Ukunga kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ziada Sellah alipokuwa akizungumza na wauguzi na wakunga wa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *