img

Watumishi walipa faini Sh milioni 35 kwa uhujumu uchumi

October 14, 2020

Na DERICK MILTON-SIMIYU WATUMISHI wanne wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Wilaya ya Maswa Mkoa wa Simiyu (Mauwasa) waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi katika mahakama ya wilaya hiyo, wamehukumiwa kulipa faini ya Sh milioni 35.7. Kupitia kesi yao No.01 ya mwaka 2018, watumishi hao wakiongozwa na Meneja wa Mamlaka hiyo, walituhumiwa,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *