img

Wanajeshi wa Poland kutegua bomu hatari

October 14, 2020

WARSAW, POLAND WAPIGA mbizi wa jeshi la Poland wameanza operesheni ya hatari ya kunasua bomu kubwa la Uingereza lililotumika kwenye vita vya pili vya dunia lililo chini ya bahari. Karibu wakazi 750 wameondolewa kutoka kwenye eneo hilo karibu na mji wa bandari wa Swinoujscie na operesheni hiyo inatarajiwa kuchukua siku 5. Bomu liitwalo Tallboy, au,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *