img

Vijana wamlazimisha Rais Nigeria kubadili msimamo

October 14, 2020

Lagos, Nigeria Maandamano yaliotanda kote nchini Nigeria kwa sababu ya kikosi maalum cha polisi cha kukabiliana na wizi wa mabavu (Sars) ni ishara kwamba vijana wanapaza sauti yao wakidai mabadiliko katika nchi hiyo maarufu barani Afrika ambayo imekumbwa na sifa ya utawala mbaya tangu ilipopata uhuru wake miaka 60 iliyopita. Licha ya kumlazimisha rais kuvunja,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *