img

Sudan yaonywa kuhusu machafuko

October 14, 2020

KHARTOUM, SUDAN MKUU wa zamani wa Baraza la Fiqhi ya Kiislamu la Sudan ameonya kuwa machafuko yatatokea nchini humo endapo wananchi watalazimishwa kukubali nchi yao ianzishe uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel. Abdurahim Ali ameashiria upinzani wa vyama vingi vya siasa, asasi na shakhsia wanaoheshimika nchini Sudan dhidi ya hatua ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *