img

Mhandisi kortini kwa utakatishaji fedha

October 14, 2020

NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM MHANDISI Baraka Mtunga (43) na mwenzake amefikishwa mahakamani akituhumiwa kwa mashtaka sita ikiwemo kuongoza genge la uhalifu katika Hifadhi ya Saadani na kutakatisha zaidi ya Sh milioni 267.  Mshtakiwa Mtunga na Rajabu Katunda (42) walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jana mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Kassian Matembele,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *