img

TRA yaweka mikakati ya kuimarisha uadilifu kazini

October 13, 2020

Mwandishi wetu, Dodoma Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imejiwekea mikakati mbalimbali itakayowezesha kuimarisha uadilifu katika utendaji wake wa kazi. Moja ya mkakati huo ni pamoja na uundaji wa kamati za kudhibiti uadilifu ndani ya mamlaka hiyo kwa ajili ya kuongeza mapato ya Serikali hapa nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Kamishna Mkuu wa TRA, Msafiri Mbibo,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *