img

Takukuru yabaini udhaifu Ruwasa Simiyu

October 13, 2020

Na Derick Milon, Simiyu Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Simiyu (TAKUKURU) imesema kuwa imebaini kuwepo kwa madhaifu kwenye miradi 8 ya maji ambayo inatekelezwa na Wakala ya Usambazaji Maji na Usafi na Mazingira Vijijini (RUWASA) mkoani humo. Madhaifu hayo yamebainika wakati Takukuru ikifanya ufuatiliaji wa matumizi ya fedha za umma katika,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *