img

Salma Kikwete: Mchinga msirudie kosa kuchagua wapinzani

October 13, 2020

Mwandishi Wetu, Lindi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mchinga kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwalimu Salma Kikwete, amewataka wapiga kura wa jimbo hilo wasirudie makosa walioyafanya katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kwa kuwachagua wagombea wa upinzani badala yake wanatakiwa kuchagua mafiga matatu kwa kumchagua Mgombea Urais, Dk. John Magufuli, yeye na madiwani wote,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *