img

Naibu Kamishna wa TRA awataka watumishi wa mamlaka hiyo Dodoma kujituma

October 13, 2020

Mwandishi Wetu, DodomaNaibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Msafiri Mbibo amefanya ziara ya kikazi katika ofisi za TRA zilizopo Wilaya ya Chamwino na Kongwa jijini Dodoma ambapo amewataka watumishi wa ofisi hizo kufanya kazi kwa bidii ili kuhakikisha wanavuka malengo ya ukusanyaji kodi waliyopangiwa katika wilaya zao. Ziara hiyo ameifanya baada ya,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *