img

JPM: Inakuja mitano ya ajira kwa vijana

October 13, 2020

 NORA DAMIAN -DAR ES SALAAM MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amesema asilimia 65 ya Watanzania ni vijana, hivyo ameahidi miaka mitano ijayo atashughulikia tatizo la ukosefu wa ajira kwa nguvu zote. Akizungumza jana wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Kinyerezi, alisema ana,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *