img

JK ashauri Serikali, wamiliki hospitali kupunguza gharama za mazoezi tiba

October 13, 2020

 LEONARD MANG’OHA – DAR ES SALAAM  RAIS mstaafu Jakaya Kikwete, ameishauri Serikali na wamiliki wa hospitali kuangalia upya gharama za mazoezi tiba yanayotolewa kwa watoto wenye usonji ili kuwawezesha kupata huduma hiyo.  Kikwete alitoa ushauri huo Dar es Salaam juzi, alipozungumza wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyolenga kuchagisha fedha za kuwasaidia watoto wenye,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *