img

Watanzania hawajafikia kiwango ulaji nyama-Serikali

October 12, 2020

Na ELIZABETH KILINDI – NJOMBE KATIBU Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Dk.Rashid Tamatamah amesema Watanzania hawajafikia kiwango cha kimataifa cha ulaji wa nyama ambacho ni kilo 50 kwa mtu mmoja kwa mwaka. Pia amesema changamoto nyengine, ni unywaji wa maziwa ambapo kila mtu anatakiwa angalau anywe lita 200 kwa mwaka. Tamatamah aliyasema hayo juzi,,

Article Categories:
Uncategorized

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *